Hii 'Jeki' ya Kajala ni babu kubwa

Siku hiyo inaonyesha aliwanasa wengi.
 
Hii sio jeki tu unatakiwa kusema Tanganyika jeki maana ni hatari.
 


Mwenzio yuko hapo kibiashara. Kajala anachapwa sana kijinga mshahara hongo ili apate kuishi mjini. Kama unammind jichunge usijechapa bila kinga. Mademu wote wa Bongo muvi wako hivi, wao bila kuuza kitumbua cha manyoya hawawezi kuishi mjini, ndiyo maana wanarogana kila kukicha kuibiana mabwana.
 
jeki ni nini? wengine washamba
Hujawahi kuona ndizi imeelemea mgomba mpaka umelala,huwa unawekwa mti kuinua na kusapoti mgomba,hiyo ndiyo Jeki!Kwa akina Dada nao huwa wanazipiga nyonyo zao jeki ili zitune!Wengine Mtoto akiwa mgongoni nyonyo anatupiwa huko na linafika,sasa ukimkuta kapiga jeki mmmh huwezi amini kama ndio yeye!
 
Hahaaaa...hebu funguka mkuu unapata maradhi kwa yale yanayopigwa jeki na binadamu (kama huyo hapo juu) au yale yenye jeki asilia ya mola wetu muumba???
Yote, lakini yale ya asili ni zaidi kwa kuwa hata unapopewa kibali cha kuyafikia, unayakuta hivyo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…