Hii 'Jeki' ya Kajala ni babu kubwa

Kama bearingi ya taili la mkokoteni" Nimecheka nusu nianguke. Mna maneno jmn lol!!!!!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Weka picha yakiwa hayajabenjuliwa mkuu ili to contrast.
 
Sijui kwa Kajala

Ila Gigy money yeye anafungaga na Rababendi 8 zinapitia nyuma ya shingo.
 
Mh! hayo hayajajazwa upepo kama mbira kweli?
 
Atakuwa mawindoni anawatega vijana wadogo wadogo ndio zao Bongo Movie kila kitu full usanii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inaitwa no longer at ease
 

Mavazi Khadija ,Designer ,Model akatuonyeshee kajala - Jay Mo -2000's!!
 
Duh huuyu hazeeki maana namjuaga tangia yuko kota obay police na kumbukumbu shule ya msingi
Ana mwili mzuri

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Huo ndo ugonjwa wangu, Mwanake yeyote anayetaka kula hela yangu hufanya hivyo.
Usidanganyike na mambo ya kupiga jeki Mkuu, Mkifika chumbani akisaula minyonyo yote kumbe ni socksi ya hatareee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…