Mimi kinachonisikitisha ni vijana wauza ukwaju kutembea wamepinda migongo nyuma Hapo tunazalisha walemavuWewe tumia tu bila ulazima,hivyo vitu wanatengenezewa wale ambao hawana access ya maziwa halisi au ukwaju halisi,lakini baadhi ya wadau,ambao wengi wao wana access na maziwa halisi au ukwaju halisi,wanavamia nakufanya manunuzi.Pole yao.
Nakusihi utumie ukwaju halisi ambao hauna preservatives na maziwa halisi pia ili kuepukana na madhara tarajiwa.