hii kadi imekaaje kwa mchezaji wa yanga

Nas Mapesa

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
5,286
Reaction score
5,421
naomba mnisaidie ufafanuzi nimeshindwa kuelewa mchezaji wetu kulimwa kadi dk ya 98 ilhali dk ziliongezwa 7,nisaidien wandugu sheria zinasemaje?
 
naomba mnisaidie ufafanuzi nimeshindwa kuelewa mchezaji wetu kulimwa kadi dk ya 98 ilhali dk ziliongezwa 7,nisaidien wandugu sheria zinasemaje?

Uamuzi wa refarii ni wa mwisho.

Pamoja na kwamba dakika 7 zilikuwa zimekwisha mwamuzi alikuwa hajapuliza kipenga cha mwisho hivyo mchezo ulikuwa bado unaendelea.

Zingatia kuwa kila mechi ya Watani ni LAZIMA angalau mchezaji mmoja wa Yanga apewe red card ili mwamuzi awafurahishe hao waliompa chochote.
 
Refa ni zombi yule mda tu ameharibu game mana yule juuko cjui(jina ka mganga) red ilikua inamuhusu mara kila mda anamchezea ovyo international player Ngoma
 
hapo nadhani umeongea kwa kutoindikiwa na ushindi mkuu, yule mchezaji alijitakia iole kadi sawa na kadi karibu zote za simba na hasa ya mgosi ilistahili nyekundu ingawa wengi wanaoangalia kishabiki hawakuliona tukio ambalo lilikua sawa na tukio na Ngoma alipopewa red siku ya Gpr Mahia
 
naomba mnisaidie ufafanuzi nimeshindwa kuelewa mchezaji wetu kulimwa kadi dk ya 98 ilhali dk ziliongezwa 7,nisaidien wandugu sheria zinasemaje?
Kwa sheria za sasa hovi unaweza kupewa kadi hata baada ya refa kupuliza filimbi ya mwisho ka a tu hajatoka uwanjani na ndio maana refa juwa wa mwisho kutoka na nakumbuka hii iliwahi kumkuta mchezaji mmoja wapo wa simba

kumbuka dakika za nyongeza ni sehemu yamchezo na huenda kwa tafakuri yao tuseme

GOLI LIKIFUNGWA DAKIKA YA NYONGEZA SIO GOLI
 
refa ni zombi yule mda tu ameharibu game mana yule juuko cjui(jina ka mganga) red ilikua inamuhusu mara kila mda anamchezea ovyo international player ngoma
simba hatujagundua lakini beki zetu zinacheza mpira wa ktoto kitoto hivi mwenye akili pale ni shabalala tu
 
Refa ni zombi yule mda tu ameharibu game mana yule juuko cjui(jina ka mganga) red ilikua inamuhusu mara kila mda anamchezea ovyo international player Ngoma

ila poa tumecheza 9 na tukampakata mtu
 
naomba mnisaidie ufafanuzi nimeshindwa kuelewa mchezaji wetu kulimwa kadi dk ya 98 ilhali dk ziliongezwa 7,nisaidien wandugu sheria zinasemaje?

Mkuu ubongo wako ndio umeishia hapo kuwaza? Unafikiri lingefungwa goli na timu yoyote Kati yao ulitaka likataliwe
 
Mkuu ubongo wako ndio umeishia hapo kuwaza? Unafikiri lingefungwa goli na timu yoyote Kati yao ulitaka likataliwe

kama huu ndio ufafanuzi kuku pia anakushinda uwezo wa kufikiri
 
Hoja ya msingi Mkuu ni kuwa dakika 7 za nyongeza ziliisha, jamaa kapewa kadi nyekundu dakika ya 99, endapo refa angemaliza mpira dakika ya 97 yote hayo yasingetokea. Kumbuka dakika za nyongeza hazina nyongeza.
 
Mkuu wakati dakika 90 zinakamilika, kipa wa Yanga alikuwa chini na alitumia muda wa kama dakika mbili au zaidi kunyanyuka na ndipo mchezo ulipoendelea, inawezekana wakati Ally yuko chini mwamuzi alisimamisha saa yake maana dakika 90 zilikuwa zimeshakamilika na wakati huo display kwenye TV ya Azam ilikuwa inaendelea; kwa hiyo dakika 97 kwenye display ya Azam inawezekana isiwe sawa na dakika 97 za mwamuzi. Kitu kama hicho kilishawahi kutokea kwenye mechi ya Simba na Kagera; ziliongezwa dakika mbili lakini Kagera Sugar walipata penati dakika ya 93 na kusawazisha.
 
Asante Mkuu Masuke kwa maelezo ya kina yanayojitosheleza. Barthez ni kipa mzuri, tatizo lake ni upotezaji wa muda, kwa hilo simfagilii kabisa.
 
Last edited by a moderator:
hoja ya msingi mkuu ni kuwa dakika 7 za nyongeza ziliisha, jamaa kapewa kadi nyekundu dakika ya 99, endapo refa angemaliza mpira dakika ya 97 yote hayo yasingetokea. kumbuka dakika za nyongeza hazina nyongeza.
na kama zingekuwa na nyongeza nahisi kuna marefa wangechezesha hata siku mbili

hoja ya msingi ni kwamba zikiwa na nyingeza mpirta unaweza usiishe
 
Asante Mkuu Masuke kwa maelezo ya kina yanayojitosheleza. Barthez ni kipa mzuri, tatizo lake ni upotezaji wa muda, kwa hilo simfagilii kabisa.

Pamoja na utani na unazi, ingekuwa angalau mara moja moja kama hivi ukweli unazungumzwa, mpira wetu Tanzania ungekuwa na maana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…