Hii kali Ndailagije kaita timu ya taifa yenye mshambuliaji mmoja tu!!!

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Ukiangalia kikosi cha Taifa Stars kilichoitwa dhidi ya Sudan naona wamejaa viungo watupu. Sielewi kwanini kocha kaita timu yenye striker mmoja tu Chilunda, ikitokea akaumia sjui itakuaje!!?
EEk2mnUXoAA3cxA.jpeg
 
Ngoja tuone
Ila ndailagije nina imani nae
 
Boko na kijana yule mwenye Kidoti mbona siwaoni
 
Hapo nmezungumzia striker asilia. Idi Nado ni kiungo mshambuliaji km Mzamiru, ,milaji adamu,Mudathili Yahaya,Hasan Dilunga,Sure boy,Abdulazi Makame na Ayubu Lyanga. Jiulize ikitokea Chilunda anaumia nani atasimama mbele km striker wa mwisho? Angalia Azamu mechi ya juzi walivyoteseka kwa kukosa Natural striker au kinachowakumba Yanga kwa sasa. Huo ni mtazamo wangu lakn.Nazani kuna ulazima wa makocha kupitia tena uteuzi wao ili tusije tafta sababu ya kumlaumu mtu
Kwani Seleman Nado ni kiungo? Acha uzwazwa
 
Mifumo inabadilika. Si lazima kucheza na natural no.9 . Cheki Liverpool hawana mtu asili namba 9 wa kutegemewa na wanascore.
 
Back
Top Bottom