Hii kama ungekua ww ungefanyaje

karume kenge

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2016
Posts
568
Reaction score
421
Habari wadau katika pitapita zako huku na huko si unajua mazingira ya mashambani tena mara ukashikwa na tumbo la kuharisha gafla ukatafuta sehem ya kujisitir japo kichakan hakuna kwa sababu ni mashamba ya watu ndio yamejaa

Uukaona isiwe tabu wacha niingie kwenye shamba la mahindi japo nipate kujistir ukaahusha mzigo wa haja ukafanya mambo yako ukamaliza ukapumua kwa ushindi wa kutoadhirika ukajisafisha japo kwa majani ukavaa ukaondoka.

Unafika kama hatua kumi inaona kuna jamaa anachota ule mzigo wako anaweka kwenye gazeti na kuufunga kama mandaz kumuuliza unapeleka wapi huo mzigo akakuambia we si umeniachia huu mzigo ndani ya shamba langu we niachie huu mali yangu najua mwenyewe napeleka wapi ungekua ww ungefanyaje?
 
Achukue tu nitamwambia siku ahitaj tena aniambie nimpatie au kama anahitaj mzigo mkubwa basi nije na familia kabisa tumpatie wote.
 
siku nyingine tafuta hata kijiti kisha chimba chimo kisha shusha zigo lako alafu fukia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…