Zionist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2017
- 1,866
- 2,996
Habari wana JF,
Nimekua nikikereka sana ninapokwenda bar na kupata usumbufu na kukereka sana. Yaani mchana najipigia bia zangu lakini inzi kibao nakua nina kazi ya kupepelea mikono kuwafukuza mpaka mchosho, na kiza kikiingia naanza kujipiga vibao mwilini hovyo ili kuwafukuza nako pia ni karaha. Jana baada ya kujiuliza na best yangu larger akiwa katulia ndani ya kichwa changu, tukapata suluhisho. Leo nitakwenda dukani nikanunue net, kila niendapo bar najisetia net kwenye meza naendelea na mambo yangu na best yangu larger bila usumbufu. yaani hapo ndege wawili kwa jiwe moja no karaha, no malaria. Kweli huyu best yangu tukijumuika nae hakiharibiki kitu. ila kabla lazima nimwambie muhudumu atukumbushe kufungasha net tunapokua tumefunga hesabu. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42] @ !!!