Hii karantini ya Wakenya ni kiboko

Hawa jamaa sasa ukiwakuta wanajisifia Kenya yao utashangaa. Poleni hapo hata mbwa wangu hawakai.
 
Hawa jamaa sasa ukiwakuta wanajisifia Kenya yao utashangaa. Poleni hapo hata mbwa wangu hawakai.
Mbwa wako wagani na wewe unaosha choo ili uweke chakula mezani?
 
tatizo hili sasa lnaanza kuhamia africa taratibu namuda si mrefu tutakuwa na corona kama malaria tu tunavyoishi nayo kama mambo ndio haya
 
Mimi nimempenda mtangazaji

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Mimi nimempenda mtangazaji

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…