Hii kasi Ya Mh Rais wa Jamhuri Ya muungano wa Tanzania itasababisha Ndoa nyingi kukumbwa na Usaliti.

Hii kasi Ya Mh Rais wa Jamhuri Ya muungano wa Tanzania itasababisha Ndoa nyingi kukumbwa na Usaliti.

ibra87

R I P
Joined
Jul 22, 2015
Posts
5,614
Reaction score
5,351
Wasalaam

wakuu

kama tulivyo shuhudia sekeseke la Mheshimiwa Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Magufuli Kutembelea Wizara na Ofisi Mbalimbali Za Serikali kukagua utendaji wake.

Hili suala kwa Upande wangu nimelitazama kwa jicho la tatu na Kugundua Hii kasi inaweza kuleta usaliti katika ndoa na Kusababisha Kuvunjika kwa ndoa husika Ama kuleta Mtafaruku.

KWANINI NASEMA HIVYO?

Nasema hivyo kwa kuwa watu Wengi hasa wale wanaoishi mbali na mjini kama Tegeta, bunju,gongo la mboto, pugu na sehemu nyingine huwapasa kuamka saa kumi usiku ili kujiandaa kwasababu ya kuwahi ofisini ili kuepuka kikombe cha kukutwa hawapo ofisini hasa pale Mheshimiwa Rais Atakapo tembelea ofisi husika.

Sasa kwa hali kama Hiyo Unadhani Usaliti utakosekana? Kumbuka Mnatoka Ofisini Saa kumi jioni lakini kutokana na Foleni Mnajikuta Mkifika makwenu saa tatu au saa nne. Tena mnafika Wote mkiwa hoi kwa uchovu Wa Kazi na Kukaa Foleni Kwa Muda Mrefu. Je Unadhani Hapo Unaweza Kumgusa mwenzi Wako? Jibu ni Hapana!

Kama hilo ndio jibu basi itakubidi upange kula tunda saa kumi na moja alfajiri...hata Nyie wenyewe mnajua mechi za Asubuhi zinavyonoga.. Sasa Jaribu Kufikiria umeamka saa kumi na moja au saa kumi kwasababu ya mechi, lakini hapo hapo katika mechi Unafikiria kuwahi kazini kuepuka kutembelewa na Mheshimiwa Rais ukakosekana.. Kutokana na Hilo unajikuta ukifanya shoo ambayo haina maandalizi ya jukwaa isipokuwa kufanya tu ili mradi kutimiza wajibu... Sasa Swali ni Hili Je Hali Hiyo Ikijirudia kama Mara Kumi au zaidi unadhani Patakuwa na Usalama hapo?

Tendo linahitaji Utulivu wa akili pamoja na nafsi.. Tendo ni maelewano na tendo ni kitu ambacho hutumia kila aina ya kachumbari ili kunogesha tendo lenyewe. Sasa kama Hali ndio Hii mtu upo kifuani lakini Unafikiria Kazini Unadhani Utaikata Hamu Ya Mwenza Wako...???

Na kama utashindwa kuikata unadhani kutakuwa na Usalama katika ndoa?

Jibu ni Hapana.....

Kama Jibu ni Hapana Unadhani nani atakusaidia kumkata kiu mwenza wako?

Hapo ndipo vijana kama MITO,KABOOM,SUMBAI,KAVELI,WORLDBOSS,PETERCHOKA, JUNIOR,CUX,WAX, ATOTO, CUTE B, HEAVEN SENT,MISSYROSE,RUBII,EVELYN SALT NA WENGINEO watakapo take advantage ya kumiliki nyumba ndogo za kutosha.

CHONDECHONDE RAIS WANGU MPENDWA JARIBU KUPUNGUZA KASI HUKU MAJUMBANI HALI SI SHWARI TENA NDOA ZINAPITIA KWENYE MAJARIBU
 
Mabadiliko ya kweli yataletwa na sisi wenyewe, mazoea yana taaaaaaab!

nalitambua Hilo mkuu lakini wewe unaionaje hii kasi Ya rais wetu mpendwa si itatufanya wengine tuachwe? Maana upo kwenye kugegeda huku jicho lipo kwenye saa ya ukutani hivi kweli utamnogesha mwenzio?
 
sasa sisi tulio private sector wala hatutishi kitu maana hana uwezo wa kuja,au mwalimu hawezi kuwa na wasiwasi kabisa.
 
Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu 'in Magufuli voice', kuchapiwa ni lazima
 
sasa sisi tulio private sector wala hatutishi kitu maana hana uwezo wa kuja,au mwalimu hawezi kuwa na wasiwasi kabisa.

hakika wewe umeepuka hilo lakini kwa walimu usije ukashangaa siku ukamuona Ghafla ameibuka shule ya msingi bunge au Shabaan Robert Sekondari
 
Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu 'in Magufuli voice', kuchapiwa ni lazima

nashukuru na wewe umeliona hilo maana atavumilia hapa mwanzo akitegemea kuwa Utabadilika akiona bado hakuna dalili hapo ndipo utakapotafutiwa msaidizi
 
mkuu katika ndoa tendo halina siku maalum bali pale mjisiako basi lazima jamaa wasalimiane

Hahaha Mkuu kula kitu week end vizuri ,kitu yenyewe ni ya kwako ushakaa nayo miaka ,hizo ratiba za kila siku uchoki
 
Hahaha Mkuu kula kitu week end vizuri ,kitu yenyewe ni ya kwako ushakaa nayo miaka ,hizo ratiba za kila siku uchoki

mkuu tatizo huja pale mwenzio anapohitaji kabla ya weekend hapo ndipo lilipo tatizo! Wengine wanalala huku wakimuwaza mheshimiwa rais kesho atatembelea wapi. Hivyo hilo huondoa hata ile hisia yenyewe ya uliyenae
 
hakika wewe umeepuka hilo lakini kwa walimu usije ukashangaa siku ukamuona Ghafla ameibuka shule ya msingi bunge au Shabaan Robert Sekondari

😁😁😁😁😁😁 hata huku Matambarale anaweza kuja?
 
Kwan kaz unafanya had jumapil? Pia hyo saa 3 ukfka kwa nn ucjtoe uchov kwa kusex? Achen uvvu wa kaz nyie mwachen mzee wa watu atendee kaul zake za kwenye kampen .
 
Kwan kaz unafanya had jumapil? Pia hyo saa 3 ukfka kwa nn ucjtoe uchov kwa kusex? Achen uvvu wa kaz nyie mwachen mzee wa watu atendee kaul zake za kwenye kampen .

mkuu kumbe Sex Huondoa Uchovu? Katika ndoa hakuna neno tusubiri Jumapili pale inapochaji Hutokea hivyo na Mara Nyingi cha Alfajiri ni kitamu na ndicho kinachowafanya Watu wachelewe makazini
 
Back
Top Bottom