jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Masikini wabongo daaah 🤣🤣🤣 Yaan hata jambo dogo kama hilo mmeshindwa kufuatilia ukwel wake? Nimegundua humu kuna watu wao wakiona post ya kuhusu CDM baas hakuna kutoa hoja ni kupinga na kubeza bila facts!!Wewe acha acha huo upuuzi wa kukipaka mafuta kwa mgongo wa chupa chama chetu kikubwa cha upingaji. Tunahitaji chama imara cha upinzani ili kujenga demokrasia imara. Kiwanja tu cha kujenga ofisi ya makao makuu ya chama hawana, halafu unasema ofisi zinajengwa nchi nzima! Bro acha hizo fix.
Mzee picha na videos zipo nying mitandaon labda ww tu ndo sio mfuatiliaji wa siasa za bongoMakao makuu kama kijiwe cha kahawa,
leta picha tuone ujenzi.
Hakuna kijiwe cha kahawa chenye ghorofa, vijiwe vya kahawa ni vibandan na chini ya mitiMakao makuu kama kijiwe cha kahawa,
leta picha tuone ujenzi.
Wewe si umeshaambiwa watu wanachanga.Uongo mtupu! Leta evidence. makao makuu mmepanga kwa Mbowe, hizo ofisi za mikoa mtajenga na nini. Hiyo hela ya wabubge viti maalumu haitoshi, ingawaje mnawakataa lakini pesa yao mnaweka mfukoni.
Makao makuu kama kijiwe cha kahawa,
leta picha tuone ujenzi.
Chama smart. Viongozi smart!Hilo la ujenzi ni bora ukae kimya tu maana ofisi zipo na tumechanga buku buku. Kwa taarifa yako cdm imetoka kuwa chama cha siasa, na siasa imegeuka ni imani. Unapoona chama kinaweza kuwa na wafuasi wake wanajenga ofisi zao kwa kujitolea ujie hicho chama hakiwezi kufa tena. Nawapongeza sana cdm kwa kuruka kiunzi cha ruzuku, ambayo imekuwa ikitumika kumaliza vyama vya upinzani.
Miaka yote walikua wapi, kwanza watupe matumiz ya Ruzuku walizokua wakipata tangu chama kimeanzishwa kama sio Ufisadi na wizi mtupuuuuuuuuuuuuuuuu
Acha porojo. Hizo mwachie Mbwiga. Hapa Jijini Mwanza mnajenga wapi ofisi?Hilo la ujenzi ni bora ukae kimya tu maana ofisi zipo na tumechanga buku buku. Kwa taarifa yako cdm imetoka kuwa chama cha siasa, na siasa imegeuka ni imani. Unapoona chama kinaweza kuwa na wafuasi wake wanajenga ofisi zao kwa kujitolea ujie hicho chama hakiwezi kufa tena. Nawapongeza sana cdm kwa kuruka kiunzi cha ruzuku, ambayo imekuwa ikitumika kumaliza vyama vya upinzani.
Wanywa Faru John ndo viongozi smart?????????Chama smart. Viongozi smart!
Iman kwa lipi zuri????????Miaka yote kilikuwa chama cha siasa, ila sasa kimegeuka Imani ndio maana wanajenga ofisi zao kwa fedha za wafuasi wake. Kwani wanakukera?
Zimeanza zote at a time Nchi nzima?Acha porojo. Hizo mwachie Mbwiga. Hapa Jijini Mwanza mnajenga wapi ofisi?
Cdm hawahitaji kufanya lolote zuri kwa ccm, sisi tunaoikubali ndio tuna imani nayo. Ww hutakiwi kuona zuri lolote kwa cdm maana haikuhusu fullstop.Iman kwa lipi zuri????????
Ahahahahahahahahahahah!!!!!!Hapo ulipoona kujenga ofisi nchi nzima kuna mahali kasema kujengwa kwa wakati mmoja? Ni hivi, ujenzi wa ofisi sehemu mbalimbali unaendelea nchini, sana sana mjiandae uvccm kwenda kuzichoma, ila hatua ya ujenzi iko kwenye utekelezaji as we speak.