samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,233
Bado moja huku
Lipuli wanachezeshwa lizombe kwa kasi ya ajabu, ama kweli timu nyingine bila kubebwa na marefa na magoli yao ya offside wangekuwa wapi sijui
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbeleko SC
TFF SC
Bodi ya ligi SC
Offside SC
FIFA SC
Mikia SC
Njooni huku