Hii katuni inafikirisha!!

enzo1988

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2018
Posts
1,838
Reaction score
7,346
Dah, kwa hali ngumu (katika awamu zote za uongozi tangu uhuru) tunayopitia halafu viongozi wetu na watoto wao wanasaza!!! Hawajali!!! Ebu mwangalie huyo mtoto!!! Inatia hasira sana!!!





Nb: Wavuja jasho wenyewe wamekalia simba na yanga na connections plus tunda kimasihara!!!!
 
Wanaogelea kwenye maziwa sio eeh!
 
Ni wakati gani katika nchi hii viongozi Serikali na Chama tawala wamewahi kuishi maisha ya wananchi Wa Nangurukuru au kijijini matombo kule Morogoro?? Wacha kudanganya kwamba mambo yamekuwa magumu this time. Tarzana wenzetu Wakenya kila Leo wanaboresha ustawi Wa nchi yaokupitia Sia tulivu na wazi.
 
Mchoraji hajaonyesha Madeni tunayodaiwa na walipaji ndio sisi.
 
Dah, kwa hali ngumu tunayopitia halafu viongozi wetu na watoto wao wanasaza!!! Hawajali!!! Ebu mwangalie huyo mtoto!!! Inatia hasira sana!!!
Mleta mada ulikuwa na hoja lkn kuinasibisha picha hiyo na hali ngumu ya Sasa siyo kweli.

Utofauti wa kimaisha kati ya wananchi na viongozi umeanza tangu awamu ya pili ya mzee Mwinyi.

Ni awamu ya kwanza pekee ambapo viongozi walikuwa na maisha sawa na ya wanachi
 
Mungu naye like a anakosea sn.Angekuwa anaweka maisha level sawa kila baada ya muda flani.Kwamba woooote tunakuwa sawa kwa Mungu kugawa kila kitu kwa watu wote kutoka ktk nchi husika
 
Wapo wanakutazama tu subiri Reaction yao
 
Ndiyo maana ukiona mpambanaji mwenye mikopo benki, amejianzishia kabiashara kake! Halafu akaamua kukwepa baadhi ya kodi na tozo zisizo na mashiko, basi mpe heshima yake.
 
Mbona Magogoni hii hapa tu tunaiona kila siku , kama Sri Lanka vile...
 
Hii nchi bwana hata viongozi wameshatuchoka. Ukipata upenyo na wewe piga tu. Na wakitaka kukupiga vibomu zima simu tu au badilisha laini.
Waache waendelee na simba, yanga na connections za uchi.
 
Ni kweli hii katuni inafikirisha sana maana haioneshi uhusiano kati ya wavuja jasho, sufuria la maziwa na viongozi wanao ogeleamo na watoto wao

Inaonekana ni kama each scerio stands independently. Wale wavujajasho wanaendelea na shughuli zao, viongozi wapo ndani ya sufuria Lao la maziwa wanaogela haijulikani hata hayo maziwa tumetoka wapi

Ingawa, Luna mchangiaji ameainisha uwepo wa mikopo inayokopwa likely ndio hayo maziwa labda ndio yanawagharimu wavuja jasho.

Pia ilitakiwa iongezewe sasa KUONESHA namna hawa wavujajasho wanavyoweza wamayotoa hayo maziwa wasionaayo kwa hao mabwanyenye

Hii katuni ni nzuri ila imekosa muunganiko wa kimuono na likely kimantiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…