Hii katuni ya Masoud Kipanya inaelezea mengi kuliko maneno

Hii katuni ya Masoud Kipanya inaelezea mengi kuliko maneno

PUNKY

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2013
Posts
576
Reaction score
251
Wana JamiiForums leo nimekutana na hii katuni iliyochorwa na Masoud Kipanya, kwa hakika inatoa tafsiri ya mambo mengi yanayoendelea hapa nchini hivi sana.

Waswahili walisema mwenye macho haambuwi tazama.

Uzi tayari.....
IMG-20220613-WA0027.jpg
 
Si tulikubaliana kuwa mauaji yalikuwa yakitekelezwa na mwendazake?

mama anawachamba tu watu wa ngorongoro hawezi kuwaua.

Nani analiyesema hiyo katuni inamaanisha mauaji?

Wewe ukiona damu tu unahisi mauaji
 
Mtu yupo safari...ameruhusu damu imwagike nyuma
Ongeza nyama kidogo mkuu, naona kama naelekea kuielewa hiyo drowingi kupitia wewe.....

Kwamba kuna safari, chini ya kapeti, kimiminika....ebu endelea mkuu!
 
Kwa maoni yangu, Tafsiri rahisi:
Damu iliyovuja (kuna mauaji, utesaji unaendelea kimya kimya)
Buti tupu (Nguvu ya dola isiyojulikana/iliyojificha inatumika)
Kapeti (mambo yanafichwa na kufunikwa)
Mlango uliofungwa(Hakuna anayeruhusiwa kuingia/kuona ndani au kutoka/kuona nje)
 
Maelezo yako yana maana kwa kihasi
 
Kwa maoni yangu, Tafsiri rahisi:
Damu iliyovuja (kuna mauaji, utesaji unaendelea kimya kimya)
Buti tupu (Nguvu ya dola isiyojulikana/iliyojificha inatumika)
Kapeti (mambo yanafichwa na kufunikwa)
Mlango uliofungwa(Hakuna anayeruhusiwa kuingia/kuona ndani au kutoka/kuona nje)
Hapo umetoa tafsiri sahihi kabisa👏
 
Hilo Buti hapo ni Polisi aliye uliwa lakini hakuna mtu anaye liongelea hilo
 
Back
Top Bottom