Tatizo umelipokea sivyo michuano ya vijana Africa wanayokwenda kushiriki Serengeti boys huko Gabon inashirikisha timu nane na timu NNE zitakazofuzu kuingia nusu fainali zitafuzu outomaticaly kombe la dunia la vijana na huu ndo msingi wa kauli mbiu hiyo kwa maana itawapa motisha kuhakikisha wanafanya vyema ili wafike hatua ya nusu fainali na kupata chance ya kushiriki michuano ya under 17 wordcup