Hii kauli nilifikiria ni jokes tu "Urudiane na ex wako ama Bora kufa"

Hii kauli nilifikiria ni jokes tu "Urudiane na ex wako ama Bora kufa"

Nilisha apa kama wewe, mwisho wa siku nilijikuta nalamba matapishi kama kalambwanda...🙈
 
Ukidate na mtu hamna kuachana ni either umbali, uchumi, ubize, visirani au penzi jipya liwatenganishe na mkikumbukana ni kuendelea mlipoishia
 
Acha uwongo wewe hivi unajua kufa au unaskia....

Kuna mwenzako hvo hvo kwenye story kama hv akawa anabisha bisha kizeme et ooh mi majambazi bora wanichinje ila sio kunipiga pipe.......

Si wakambananiza bana.. jamaa mapaka leo mzima.. sa sijui ilikuaje akapona
 
Back
Top Bottom