Hii kauli wala sio poa kabisa

Hii kauli wala sio poa kabisa

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
498
ImageUploadedByJamiiForums1414074330.145146.jpg kufuatia kauli aliotoa mwimbaji wa bongo fleva nasibu abdul a.k.a diamond kumeibua hisia tofauti na chuki kwa wapenzi wa muziki wake ,kauli ya mwimbaji uyo kusema kuwa katika mkoa wa mbeya amna hotel atakayo weza kulala yenye hadhi yake ,kumemretea sifa mbaya hasa kwa wapenzi wake wa mkoa uwo, pia kumeutoa thamani mkoa uwo upande wa mahoteli pia kumeleta maswali je mawaziri wetu wabunge na manaibu mawaziri wafanyapo ziara za kikazi mbeya kumbe wanalala kwenye vi hotel vya ovyo ovyo ,inasikitisha,pia inawezekana diamond anayo hadhi kubwa kupita bahadhi ya viongozi wa serikali yetu?
 
Hivi Kikwete akienda Mbeya ule msafara wake wote unalalaga wapi, wote wanalala ikulu ndogo au?
 
Kha watu kwa kufufua mambo kwani ni ngeni hii hapa?
 
Yani hii wiki kila mtu ataanzisha thread.. Diamond kawa touch vilivyo..!!
 
View attachment 195828 kufuatia kauli aliotoa mwimbaji wa bongo fleva nasibu abdul a.k.a diamond kumeibua hisia tofauti na chuki kwa wapenzi wa muziki wake ,kauli ya mwimbaji uyo kusema kuwa katika mkoa wa mbeya amna hotel atakayo weza kulala yenye hadhi yake ,kumemretea sifa mbaya hasa kwa wapenzi wake wa mkoa uwo, pia kumeutoa thamani mkoa uwo upande wa mahoteli pia kumeleta maswali je mawaziri wetu wabunge na manaibu mawaziri wafanyapo ziara za kikazi mbeya kumbe wanalala kwenye vi hotel vya ovyo ovyo ,inasikitisha,pia inawezekana diamond anayo hadhi kubwa kupita bahadhi ya viongozi wa serikali yetu?

Nigga, kajipange... Otherwise baki tu kuwa msomaji kama sisi hapa..khhoooh..
 
mna ushahidi gani kuwa daimond aliponda mbeya .....
 
View attachment 195828 kufuatia kauli aliotoa mwimbaji wa bongo fleva nasibu abdul a.k.a diamond kumeibua hisia tofauti na chuki kwa wapenzi wa muziki wake ,kauli ya mwimbaji uyo kusema kuwa katika mkoa wa mbeya amna hotel atakayo weza kulala yenye hadhi yake ,kumemretea sifa mbaya hasa kwa wapenzi wake wa mkoa uwo, pia kumeutoa thamani mkoa uwo upande wa mahoteli pia kumeleta maswali je mawaziri wetu wabunge na manaibu mawaziri wafanyapo ziara za kikazi mbeya kumbe wanalala kwenye vi hotel vya ovyo ovyo ,inasikitisha,pia inawezekana diamond anayo hadhi kubwa kupita bahadhi ya viongozi wa serikali yetu?

uwo-huo
bahadhi-baadhi
we kama sio msafwa basi mmalila
 
Mume apigwa na mkewe Kenya.

<font size="4">
 
Last edited by a moderator:
Me mwenyewe napata wasiwasi kama ntapata hotel ya hadhi yangu, kama tu lifti ya kwaza mmezindua juz
 
View attachment 195828 kufuatia kauli aliotoa mwimbaji wa bongo fleva nasibu abdul a.k.a diamond kumeibua hisia tofauti na chuki kwa wapenzi wa muziki wake ,kauli ya mwimbaji uyo kusema kuwa katika mkoa wa mbeya amna hotel atakayo weza kulala yenye hadhi yake ,kumemretea sifa mbaya hasa kwa wapenzi wake wa mkoa uwo, pia kumeutoa thamani mkoa uwo upande wa mahoteli pia kumeleta maswali je mawaziri wetu wabunge na manaibu mawaziri wafanyapo ziara za kikazi mbeya kumbe wanalala kwenye vi hotel vya ovyo ovyo ,inasikitisha,pia inawezekana diamond anayo hadhi kubwa kupita bahadhi ya viongozi wa serikali yetu?

CAN U ALL F.U.C.K.E.N People, Stop Talking About that F.U.C.K.E.N diamond Boy, We are All F.U.C.K.E.N tired of Hearing is .F.U.C.K.E.N name, all the F.U.C.K.E.N time, I think iam going mental any F.U.C.K.E.N time now, if i hear that .F.U.C.K.E.N #shitt about Leaders AGain, Ya'll ----en People Need to Grow Some F.u.C.k.E.N balls and tell the boy Face to Face, For ----Sake...#iam----enout
 
Hhhhhhaaaaa una mkwara hhhhhaaaaa
 
View attachment 195828 kufuatia kauli aliotoa mwimbaji wa bongo fleva nasibu abdul a.k.a diamond kumeibua hisia tofauti na chuki kwa wapenzi wa muziki wake ,kauli ya mwimbaji uyo kusema kuwa katika mkoa wa mbeya amna hotel atakayo weza kulala yenye hadhi yake ,kumemretea sifa mbaya hasa kwa wapenzi wake wa mkoa uwo, pia kumeutoa thamani mkoa uwo upande wa mahoteli pia kumeleta maswali je mawaziri wetu wabunge na manaibu mawaziri wafanyapo ziara za kikazi mbeya kumbe wanalala kwenye vi hotel vya ovyo ovyo ,inasikitisha,pia inawezekana diamond anayo hadhi kubwa kupita bahadhi ya viongozi wa serikali yetu?

Jengo lenye lift ya kwanza Mbeya limezinduliwa mwaka huu.
 
Weka hapa hiyo source kwamba Diamond alisema Mbeya hakuna hotel yenye hadhi yake! Jana tumeona watu wameandika barua na kusema eti imeandikwa na Diamond... mtu mwenye akili timamu anajiuliza barua ya Diamond kwenda JWTZ imefikaje kwenye mitandao... au ni kwanini aandike mwenyewe wakati kuna wapambe wake kibao tu tu wengine wenye shule.
 
Back
Top Bottom