Hii kauli ya Makamu wa Rais ina maana gani?

Ukali wa wanajeshi wetu sijawahi kuuona popote, ina maana wote waliotangulia walikuwa na busara hawajawahi kuvurugwa na yeyote toka tupate uhuru?
Wanajeshi halisi walikuwa akina marehemu hans pope, angalao walijaribu japo walisalitiwa
 
Siku ya kiapo tunatamani Rais atoe neno Kwa nchi juu ya hali halisi ili angalau kujenga matumaini mapya kwa wananchi.Maana wananchi wengi wanakuwa kama wana maswali mengi na majibu machache.Mbolea bei juu,petrol juu,mafuta ya Kula juu,nk nk.Hao viongozi wengine sio lazima waongee.Mambo ya kutwambia eti Fereshi hakujua kuwa anakuja Dodoma kula kiapo cha kuwa AG ,[emoji1]
 
Umechanganywa na rangiiiii au majina?
Ameongoza na kuratibu shughuli za kamati nyeti ndani ya SADC. Amekuwa katibu EAC and SADC Kwa nyakati tofauti na kahudumu muda mrefu. Amekuwa katibu wa wizara pia.

Unadhani nafasi hizo hazitoshi kuonesha kwamba yuko vizuri? Kwa mfumo wa nchi yetu kupewa hizo nafasi tayari inaonesha kwamba yuko vizuri huyo mama.
 
AJIUZULU TU...../
YEYE PAMOJA NA RAISI WAKE MIMI KUSEMA KWEELI SIWAELEWI KABISA
takataka yaani trash [emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]
Kama wewe umwelewi sisi tunamwelewa , na tunamuunga mkono na tutamtii(kauli ya cdf chato).Kazi iendelee
Mama tupo naye sana tu.."atake asitake"
 
 
Kwani maafande hawakushirishwa uteuzi? Hiyo kazi ya uwaziri Raisi aliishusha hadhi kwenye hotuba aliposema kazi ya waziri sio sijui mabunduki na na kuendesha vifaru au. Misuli! !! Kutetea kuwa ni kazi ndogo hata mwanamke aweza kufanya kazi ya waziri wa Ulinzi! !!

Wanawake huwa hawapangwi jeshini shift za usiku wala hakuna commandoo mwanamke JWTZ. Waziri wa Ulinzi Mwanaume alikuwa akiwekwa makusudi kuwa anatakiwa kuwa on duty masaa 24 akiitwa usiku wa manane kwenye kikao anatakiwa kuinuka haraka kwa spidi ya mwewe kwenda. SASA mama akiistuliwa usiku wa manane hadi avae nguo mia apake lipstick ajipodoe si kutakuwa kumekucha
 
Wanajeshi wenyewe wameridhika wengi vitambi vitupu, hamna jeshi hapa
Ukiwaona wembamba hao ujue ni kuruta mpya na muda si mrefu anachomoa kazi na kurudi kitaa...
Maana hata vyeo vya kukupa kitambi ni mishimise...
Vita Sasa hivi ni vifaa sio vitambi
 
Kwa CV hiyo wizara ya Mambo ya nje ndiko kungemfaa zaidi sio Ulinzi
 
mh mkuu acha siasa.
 
Ukali wa wanajeshi wetu sijawahi kuuona popote, ina maana wote waliotangulia walikuwa na busara hawajawahi kuvurugwa na yeyote toka tupate uhuru?
True maana hata huyo kuandikwa sijui kuchorwa alikua wala hajulikani kama yupo
 
Kinachofanya nihoji ni kuwa kama vituo vyote vya kambini (tanzania nzima) wewe ulipataje hizi habari ?

na inawezekanaje jiwe awe na chuki na askari ambao ndio wanamlinda na kulinda mamlaka yake na mbona aliwaongezea mishahara
 
Wanajeshi wenyewe wameridhika wengi vitambi vitupu, hamna jeshi hapa
Ukiwaona wembamba hao ujue ni kuruta mpya na muda si mrefu anachomoa kazi na kurudi kitaa...
Maana hata vyeo vya kukupa kitambi ni mishimise...
Kwa wananchi wanaotokea mikoa ya mipakani wanaona umuhimu na kazi za askari jeshi

na kingine kitendo cha uwepo tu wa jeshi ni kazi tosha na kingine unajua kuwa askari wa jwtz wapo msumbiji kuhakikisha magaidi hawavuki mpaka na kuja kufanya uharibifu tz ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…