sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Kuna kauli ya Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa sjui ni kata au wilaya ya Kinondoni hapa mtandao akiwa SII vijana wa umoja wa vijana ccm waache kujifanya usalama wa taifa Badala yake anawataka wajifanye usalama wa taifa wa Chama Cha Mapinduzi.
Je wadau mmeiskia na kuelewa?
Nakumbuka henzi hizo Olle Sabaya aliwai mpaka kushitakiwa kwa kosa la kujifanya usalama wa taifa na sjui Ile kesi aliishinda au ndo Mwendazake aliifuta Ili amteue kuwa mkuu wa wilaya sikumbuki
Nakumbuka hata Mh Makonda nae ziliwai penya tetesi hizi,
Sio Hawa vijana TU hata huyu Emanuele Nchimbi, Masauni na hata yule mkuu wa mkoa wa Geita kwa Sasa Kwa maana ya Shigela wote enzi hizo wakiwa huko kwenye umoja wa vijana tuliambiwa ni usalama wa taifa
Je ni kweli umoja wa vijana wa ccm ndo chimbo LINARO SABABISHA kupatikana kwa vijana wetu kwenda kuwa usalama wa taifa?
Madhala ni mengi kama ni kweli kuliko faida .