hii kero NMB MKWAWA BRANCH hadi lini??

Gwaks makono

Senior Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
109
Reaction score
16
kati ya matawi ya nmb tanzania yenye huduma mbovu ni tawi la nmb mkwawa branch iringa hamna utaratibu mzuri wa kupata huduma kwa haraka.haiwezekani kukaa katika folen masaa matano.rekebishen hilo
 
kati ya matawi ya nmb tanzania yenye huduma mbovu ni tawi la nmb mkwawa branch iringa hamna utaratibu mzuri wa kupata huduma kwa haraka.haiwezekani kukaa katika folen masaa matano.rekebishen hilo

Mimi nimeenda pale na siku zote naona wako okay.

Nafikiri na Marekebisho ya ujenzi wa jengo la Benki nayo yanachangia.

But nimeona hawana mashine za kuhesabia hela kwa kila teller.

Wanasema kama una hela ''nyingi'' kuna ka corridor fulani unaingia zihesabiwe ndio zipelekwe kwa Teller.

Ningeshauri tu kila teler awe na hiyo mashine ya cash count.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…