Hii kiboko.

Hii kiboko.

Joined
Sep 26, 2016
Posts
68
Reaction score
51
Basi Jana wakati natoka job mbezi beach kufika afrikana si nikakutana na rais Obama. Etii ameniomba lift ikabidi nimpe tukafika mwananyamala akashuka akasema anaishi mwananyamala kisiwan nikamwambia MPE hai kabint Michelle. Basi akaniomba namba za simu. Nikammpa....ghafla nikasituka. Eeeee kumbe nilikuwa naota. Hii kweli kiboko.
 
Back
Top Bottom