Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kuna sehemu nimeisoma hii; kutokana na takwimu wanaume wengi hutoa fedha nyingi benki siku ya ijumaa, na wanawake wengi hupeleka pesa nyingi benki siku ya jumatatu. Hii kimahusiano imekaaje wakuu?