Hii kimahusiano imekaaje wakuu?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Kuna sehemu nimeisoma hii; kutokana na takwimu wanaume wengi hutoa fedha nyingi benki siku ya ijumaa, na wanawake wengi hupeleka pesa nyingi benki siku ya jumatatu. Hii kimahusiano imekaaje wakuu?
 
Hata nyumba za wageni na bar zinajaa kuanzia ijumaa jioni na jumamosi jioni. Pia Kuna safari nyingi za jioni kati ya miji iliyokaribiana. Haya yote yanasababisha wanaume watoe hela ili watume na ya kutolea.
 
Hata nyumba za wageni na bar zinajaa kuanzia ijumaa jioni na jumamosi jioni.
Pia Kuna safari nyingi za jioni kati ya miji iliyokaribiana. Haya yote yanasababisha wanaume watoe hela ili watume na ya kutolea.
Ha ha ha ha
 
Weekend huchangamka kuanzia siku ya ijumaa jioni. Me hutoa hela siku ya ljumaa kupekeka kwa ke na ke aliyeipokea pesa kuanzia siku ya ljumaa huipeleka bank au kwenye vikoba kuanzia siku ya Jumatatu baada ya nyeti zake kushughulishwa vilivyo weekend.

NB; hii inaaply kwa baadhi ya watu sio wote
 
Kweli wanaume tumeumbwa,matesooo......
 
Kweli wanaume tumeumbwa,matesooo......
Ni uumbaji tu mkuu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] hakuna moment inafurahisha kama pale unapomsukumia ke jipande la nyama yenye misuli huku ukimcheck anavyojinyongoloa kama nyoka aliyetandikwa mafimbo mengi mengi. The art of f√¢k!nG
 
Wewe masta wewe😁😁
 
Kuna sehemu nimeisoma hii; kutokana na takwimu wanaume wengi hutoa fedha nyingi benki siku ya ijumaa, na wanawake wengi hupeleka pesa nyingi siku ya jumatatu. Hii kimahusiano imekaaje wakuu?
Km upo dar fanya research pale hotel za manzese ijumaa-j2
 
Kumbe
 
Kwa hiyo leo mpaka jioni kuna mifuko ya watu inazidi kutoboka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…