wamkodowenye
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 261
- 291
Nimefuatilia mijadala ya hii kinga iliyozinduliwa juzi sasa sijaelewa je wale ambao wanaishi na virus vya h. I. V je wao watajisikiaje na je kuna dawa imepatikana juu yao au laa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinga ni kwa ajili ya wale ambao bado hawaathirika na huo ugonjwa.Nimefuatilia mijadala ya hii kinga iliyozinduliwa juzi sasa sijaelewa je wale ambao wanaishi na virus vya h. I. V je wao watajisikiaje na je kuna dawa imepatikana juu yao au laa?
Wenye h.i.v naona ni shauri yao, kinga ni ili adui asiingie, kama keshaingia kinga haina kazi.Nimefuatilia mijadala ya hii kinga iliyozinduliwa juzi sasa sijaelewa je wale ambao wanaishi na virus vya h. I. V je wao watajisikiaje na je kuna dawa imepatikana juu yao au laa?
Je walioathirika inakuajeKinga ni kwa ajili ya wale ambao bado hawaathirika na huo ugonjwa.
Katika utaratibu wa kutafuta kinga hawahusiki.Je walioathirika inakuaje
Ndio ipo imezinduliwa week hiiHiyo kinga imeshafika Tz??
Utaratibu wa kuipata upoje momNdio ipo imezinduliwa week hii
Hata sijajua mpendwa.Utaratibu wa kuipata upoje mom
Wameanzia mbeya na sogweHata sijajua mpendwa.
Chek mafisi wanavyofurahia hii habari!
Achen ngono zembe jaman
sasa sijaelewa ni kuwa ukichomwa hiyo dawa au ukitumia hiyo dawa ina maana ukizini na mtu mwenye ngoma haupati si ndio au