Hii kinga ya ukimwi je inawahusu na wale wenye ukimwi?

wamkodowenye

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
261
Reaction score
291
Nimefuatilia mijadala ya hii kinga iliyozinduliwa juzi sasa sijaelewa je wale ambao wanaishi na virus vya h. I. V je wao watajisikiaje na je kuna dawa imepatikana juu yao au laa?
 
Nimefuatilia mijadala ya hii kinga iliyozinduliwa juzi sasa sijaelewa je wale ambao wanaishi na virus vya h. I. V je wao watajisikiaje na je kuna dawa imepatikana juu yao au laa?
Kinga ni kwa ajili ya wale ambao bado hawaathirika na huo ugonjwa.
 
Nimefuatilia mijadala ya hii kinga iliyozinduliwa juzi sasa sijaelewa je wale ambao wanaishi na virus vya h. I. V je wao watajisikiaje na je kuna dawa imepatikana juu yao au laa?
Wenye h.i.v naona ni shauri yao, kinga ni ili adui asiingie, kama keshaingia kinga haina kazi.
 
Title na content naona ni tofauti

Anyway....

Kinga haiwezi kumsaidia mtu aliyekwisha athirika

Kwa wale waliothirika waendelee kutumia ARV na kusubiri tafiti zinazofanywa za kugundua dawa ya kutibu, IPO SIKU.
 
sasa sijaelewa ni kuwa ukichomwa hiyo dawa au ukitumia hiyo dawa ina maana ukizini na mtu mwenye ngoma haupati si ndio au
 
Chek mafisi wanavyofurahia hii habari!

Achen ngono zembe jaman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…