Hii kisbo kutoka Mwanza to Dar kwa hakika labisa jaina mpinzani inafunika mbaya

Halafu hao dereva huwa anapewa pesa ya faini za tochi,au wanazinunua tochi mapema pia scania ya kuchonga hivyo speed governer haikamati
 
Mimi nina bahati mbaya nao, sijawahi kusafiri na basi la Kisbo nikafika siku hiyo hiyo. Ila basi pacha(Kibo) ndiyo huwa nafika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…