Hii kitu haina urafiki..!!

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Juma alimua kusafiri kwenda mbali. Akamvika mkewe chupi ya chuma yenye kufuli.
Ufunguo wa chupi alimwachia rafiki yake mkubwa na kipenzi kwa maelezo kuwa
asiporudi baada ya miaka minne amfungulie mkewe ili aishi maisha ya kawaida.

Juma alianza safari yake. Muda si mrefu kabla hajafika mbali akamwona rafiki
yake kipenzi anamkimbilia…. akasimama kumsubiri kujua kulikoni.

Akauliza: Vipi rafiki yangu? Rafiki akajibu; umenipa ufunguo ambao si wenyewe!!!:wink2:
 
Hii umeifanyia swahili version safi sana!
 
Kweli usimwamini rafiki kwenye manbo ya mahusiano hata kidogo.Alijuaje?kuwa ufunguo si wenyewe wakati alitakiwa kujua after 4 years??.Hadithi hii Nani alikufundisha na alikuambia ina maana gani?
 
Yaani rafiki yake alikuwa anamtamani shemejie hivyo aliona ni golden chance ambayo haiitaji kuchelewa kufungua kufulia hata dakika mbili ili aonje asali na achomge mzinga haraka
 
Yaani rafiki yake alikuwa anamtamani shemejie hivyo aliona ni golden chance ambayo haiitaji kuchelewa kufungua kufulia hata dakika mbili ili aonje asali na achomge mzinga haraka


U're right myfriend the golden Chance never come twice!!!!!!!!!!!!!
 
Bonge ya kofi hapo hapo bila kukawiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…