Hii kitu inaitwa PIMP MY RIDE bongo IPO?

Hii kitu inaitwa PIMP MY RIDE bongo IPO?

iparamasa

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
13,437
Reaction score
14,927
Naona sana nchi za ulaya gari inafumuliwa ikitoka hapo nzuri balaa mpaka dashboard,bumper,viti,je gereji ipi Tanzania inafanya haya mambo
 
Nadhani hata kule bei ni kubwa mno, ila mtu anaona ufahari kuendelea kukaa na gari moja muda mrefu ikiwa na muonekano tofauti.

Yaani kifupi bongo watu hawawezi sababu gharama zake ni afadhali kununua gari jingine tu.
 
Ipo Dar inaitwa tttrautoupgrades kwenye instagram utaiona
 
Back
Top Bottom