Hii kitu ingewatokea wasanii wenu wa Tanzania dunia ingejua

nergomafioso

Senior Member
Joined
Apr 3, 2024
Posts
158
Reaction score
362
Habari za wakati huu natumaini mu wazima wa afya, Najua watu wengi humu jukwaani ni watumiaji wa mtandao wa kijamii wa Instagram na wengi wetu tunajua namna sahihi ya matumizi ya huu mtandao.

Kuna feature inaitwa close friends hii imekuja miaka ya hivi karibuni mnafahamu inavyofanya kazi?

Naweza kusema kwa sasa mimi ni mtanzania pekee niliopo kwenye close friends list ya msanii Tyga.

Sijui kama mnauelewa namna ninavyonufaika na hii situation 🤔
 
Ukinufaika wewe inatosha.
 
Wabongo wengi hatupendi kujifunza/kusoma ujuaji unatupoteza.
 
So far unanufaikaje kuwa close friend na huyó Tyga ili na sisi tujifunze
 


Nitarudi kuwapa maelekezo namna hii feature inafanya kazi niliacha wajuvi wa mambo waseme chochote naona hawana idea au wameamua kufunga vioo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…