hii kitu ipo hapa kwetu?


PJ Wengine wanaingia kwenye ndoa maana ni fashion ...all my friends are getting hitched...

Kuna street saying --Marriage in haste repent at pleasure...
 
Mwanaume/Mvulana siku zote hutafuta kitu kimoja tu toka kwa mwanamke yeyote yule siyo wote duniani.

Mwanamke/Msichana hutafuta vitu vingi toka kwa mwanaume mmoja tu.

Na ndo maana wananwake ndo wanakuwaga na hasira kutokana na yule aliyemsababishia hasira yaani ex-bf wake.
 
Wadada hapo kwenye red hapo ningefurahi sana kupata 'HONEST ANSWERS! Zitasaidia sana kwa kwa wadada kujielewa, maana kuna baadhi ya wanawake wana confuse hicho kitu!!!

Being strong kwa mtazamo wangu ni mwanamke anayejiamini na kujieheshimu at the same time anaheshimu kila mtu. Anatekeleza wajibu wake inavyostahili bila maringo, dharau au kiburi. Pia kujua wajibu wako kama mwanamke na kuajibika ipasavyo sio kutafuta visingizio na ugomvi kuficha udhaifu wako. Ukifanikiwa kufanya hivyo una haja ya kujigamba kwani watu watakusifia wenyewe
 

Nimekugongea SENKSI. Maana kuna baadhi ya wanawake wanadhani kuwa ''a strong woman'' ni kuwa mbishi kwa mwanaume hata pale ambapo mwanaume yuko sahihi!
 
Mkuu Invisible,

Saidia watu hapa with these two movies:

1. The diary of a tired black Man

2. Not easily broken

Probably na hizi:

WHY did I get married?

I think I love my Wife
Ukiongezea na Obsession hasa kwa wale wanaopenda kazi za nje!!
 
Aaah,mi sishangai juu ya hili hapa kwetu,as we are living under the copy and paste theory!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…