Hii kitu nimeipenda bure

kigori wa kilwa

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
483
Reaction score
149
Mie muoga wa pikipiki ila hii machine ningepanda mpka kilwa...kitu BMW sijui mamilion ngapi?
 

Attachments

  • 1450691438291.jpg
    35.9 KB · Views: 321
  • 1450691459675.jpg
    32.7 KB · Views: 291
  • 1450691476830.jpg
    34.7 KB · Views: 281
Milioni??..Hapana.

Mimi ya kwangu nilinunua Laki Moja na nusu.ila siku hizi zitakuwa Zimeshuka Bei.
 
Hapana nimekutana na mtu hapa salender ndio yupo kwenye machine nikaitamani balaa ila nilimwambia ebana nimekubali
 
Milioni??..Hapana.

Mimi ya kwangu nilinunua Laki Moja na nusu.ila siku hizi zitakuwa Zimeshuka Bei.
Jombaa, wewe ulinunua mwaka gani ??? maana yangu nimenunua 2014/7/ kwa tsh.20,000/= labda kama umenunua mwaka huu mana vitu vya magufuli havishuki bei vinapanda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…