Hii Kluger New Model nimeilewa sana

Leo nikiwa kwenye Pita zangu, mjini nimemuona huyu mnyama mpaka nikasisimka wandugu, Kitu kimetulia sana.

Naomba wenye maelezo kuhusu huyu mnyama, kwa maana ya ufanisi, Bei na Kadhalika...
Mnyama kazi katulia sana, shida ni kwa wale wa mafuta ya mawazo humo ndio hapatawafaa maana hio chuma ina 3.5L 2GR Engine
 
Kitu kizuri acha kisifiwe. sure mwenye nalo ataichukulia hii picha kama credit kwake .
Kumiliki gari unique mjini hapa ni status kubwa.
Hivi mlipita pita shule kweli hata kidogo? Au umande.?

Kama umepost kwa kusifia bila ridhaa ya mmiliki kwanini usiHide hizo namba?

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Hivi mlipita pita shule kweli hata kidogo? Au umande.?

Kama umepost kwa kusifia bila ridhaa ya mmiliki kwanini usiHide hizo namba?

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Sasa kama lipo peke yake hapo mjini hilo gari namba una hide za nini?
Kuna mzee namfahamu alikuwa wa kwanza kuleta suzuki vitara miaka ya 90 na lilijulikana kwa namba zake za usajili hadi mikoani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…