Hii kona ni kali sana, hatari kwa madereva

Hii kona ni kali sana, hatari kwa madereva

big dreamer

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
399
Reaction score
1,076
Anayejua eneo hilo atuambie, tuwe na tahadhari

FB_IMG_1653292732240.jpg
 
... huyo aliyesimama barabarani porini katikati ni jini? Wanasema hutakiwi kumkwepa; ukifanya hivyo imekula kwako.
 
ita sumatra haraka sana.mzigo umezidi huku
 
hapo 100% ni kilima ukitoka mto wa mbu unaitafuta karatu.pale karibu na lake manyara view point
 
Back
Top Bottom