Gloriamagret
Member
- Jun 12, 2023
- 47
- 155
Mwili wote umesisimka, Hongera mkuu.Mimi ni mpenzi sana wa konyagi.nipo moshi kikazi bar maarufu sana hapa moshi nimeagiza konyagi lakini nahisi ina ladha tofauti na nilivyozoea.vipi ni mimi tu au wenzangu mnaonaje ladha ya konyagi hapa moshi?
Mwanamke unakunywa konyagi?Mimi ni mpenzi sana wa konyagi.nipo moshi kikazi bar maarufu sana hapa moshi nimeagiza konyagi lakini nahisi ina ladha tofauti na nilivyozoea.vipi ni mimi tu au wenzangu mnaonaje ladha ya konyagi hapa moshi?