Hii Link ya Airtel Kwenye JF Imekaaje? [CLOSED: Corrected]

Status
Not open for further replies.

wikolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
800
Reaction score
271
Nimekuwa naangalia link ya airtel kwenye JF ambayo inasema 'NUSU SHILINGI YA UKWELI mchana kutwa, mwanzo hadi mwisho'. Nilipojaribu kuifuatilia link hiyo nikakuta ndani ya mtandao wa airtel wanasema airtel kwenda airtel ni Tsh.1 kwa sekunde na airtel kwenda mitandao mingine nchini ni Tsh.3 kwa sekunde. Binafsi nimeshindwa kuelewa kinachoendelea hapo. Ni namna ya kurubuni au kitu gani hasa? Tafadhali mwenye taarifa zaidi anifahamishe.
 
Hakuna stadards Bongo, kila mtu anafanya atakalo so usishtuke.Tunasongo tu hivyo hivyo.

N.B: probably graphic ya zamani waliyowapa JF bado wanaitumia.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…