Hii logo ya CAF huwa wana download mtandaoni na kuweka kwenye jezi au kuna taratibu wanazifata kupatiwa?

Hii logo ya CAF huwa wana download mtandaoni na kuweka kwenye jezi au kuna taratibu wanazifata kupatiwa?

SALOK

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2011
Posts
3,364
Reaction score
2,001
Kwamba wakiwa kwenye mchakato hiyo logo wanadownload mtandaoni tu, ama protocal zinakuwaje?

v9bdjd.jpg
 
Aliyeelewa naomba anisaidie. Naweza tupa dongo kwa makolo kumbe ni Yanga ndio tunasemwa. Msaada
 
Back
Top Bottom