Lol...
Huwa tatizo ni "mambo mengi muda mchache"Hivi ule mwandiko wa madaktari ni sehemu ya mafunzo yao au ni mbwembwe kazini?
Hawa wako kwenye Fokker 50 mkuu, hawatumiki aina nyingine ya ndege!!Mnawajua "air hostages" lakini?😎
Don Clericuzio msaada plz
Hapana wamemchosha tu, maana shughuli ya Man watatu sio mchezo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]kashaungua huyo
Tatizo ni lugha au mwandiko? Maana jibu lake ni kuwa alifikiri KAANDIKA 3 males per day.