Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Habari wakuu,
Nimeisoma hii makala nikabaki na duwaa. Nimeona ni kama vile wanaopata msamaha ni kwa makosa ya mauaji (pengine kwa kutokusudia) na wizi mdogo mdogo, na magomvi ya kupigana.
Pengine mnielimishe zaidi. Mtu anafungwaje maisha au anahukumiwa kifo halafu anapata msamaha wa kupunguziwa adhabu. Ukitazama kwenye list ya makosa yasiyostahili msamaha, huyu wa miama 30 au maisha hachomoki. Tatizo ni mahakimu kutoa adhabu zisizostahili?