Haaaaa yalinikutaga hayo madhila baada ya kugawiwa mtihani wa maths nikaenda form four B kuwauliza Mwalimu katembeza kichapo kabla sijaondoka akaingia mwalimu wa physics akasema kila mmoja pembeni ya dawati na unyooshe mikono mbele zikapita fimbo Saba Saba toka siku hiyo niliacha udaku