Wadau wa mpira hasa wa Laliga ebu mnisaidie, hii mechi ambayo ilikuwa na mastaa wote wa [HASHTAG]#Barcelona[/HASHTAG] ya 2017 je ilikuwa mazoezi tu au [HASHTAG]#Laliga[/HASHTAG]? sikupataga bahati ya kuiona ila nimeikuta tu kwenye mitandao nikadhani [HASHTAG]#RealMadrid[/HASHTAG] wanacheza na [HASHTAG]#Espanyol[/HASHTAG] maana waliwahi kuwafunga 16:0.
[HASHTAG]#Barcelona[/HASHTAG] wamenyanyazwa kama watoto wa mtaani
Hii inanikumbusha ile mechi ya 2003
Angalia pia Real Madrid vs Espanyol
Ha ha ha ha ha ha haaaaaah, kwenye mechi ya mazoezi ya la liga pale bernabeu madrid alifungwa 3 bila na barca tunasubiri mazoezi mengine camp nou, hizo video unaona ni video games maana hata inaonekana huwezi kutofautisha na mpira wa kweliWadau wa mpira hasa wa Laliga ebu mnisaidie, hii mechi ambayo ilikuwa na mastaa wote wa [HASHTAG]#Barcelona[/HASHTAG] ya 2017 je ilikuwa mazoezi tu au [HASHTAG]#Laliga[/HASHTAG]? sikupataga bahati ya kuiona ila nimeikuta tu kwenye mitandao nikadhani [HASHTAG]#RealMadrid[/HASHTAG] wanacheza na [HASHTAG]#Espanyol[/HASHTAG] maana waliwahi kuwafunga 16:0.
[HASHTAG]#Barcelona[/HASHTAG] wamenyanyazwa kama watoto wa mtaani
Hii inanikumbusha ile mechi ya 2003
Angalia pia Real Madrid vs Espanyol