Hii Mercedes Benz SLS AMG ni hatari!

Hizi gari za kufunguka binafsi sina mzuka nazo kabisa hata nikifikia uwezo wa kununua dizaini hii.
 
Hizi gari za kufunguka binafsi sina mzuka nazo kabisa hata nikifikia uwezo wa kununua dizaini hii.
Ishu cheki walivyoifanya stable on road!..Kuweza kutembea chini juu si jambo la mchezo mzee!!..
 
Hizi ndio gari za kutembelea, tatizo bei ila zitachangwa tu.
 
Hiyo editing mkuu
Ukiamua amini hivyo sawa!.. but unajua gari inayoweza tembea chini juu pekee zilikuwa gari za Formula 1, untill hawa jamaa kufanya hicho!.
 
Gari nyingi za wenzetu, ukileta Africa, hakuna barabara yakutembelea. Na foleni zetu hizi duuuh, nishida kwakweli...
 
Gari nyingi za wenzetu, ukileta Africa, hakuna barabara yakutembelea. Na foleni zetu hizi duuuh, nishida kwakweli...
Ila ile Bentley Bentayga nazani africa linatembeleka!
 
dah! huyo Michael mpaka leo hajapona tu
 
Nadhan ni concept. For the first time niliiona kwenye movie ya Justice League alikua nayo Batman.
 
Nadhan ni concept. For the first time niliiona kwenye movie ya Justice League alikua nayo Batman.
Toka 2010 zipo mtaani hizo mkuu!..
Unaambiwa chasis na body frame yake ni aluminium!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…