Wick JF-Expert Member Joined Dec 19, 2012 Posts 8,313 Reaction score 12,170 May 18, 2018 Thread starter #41 blessings said: Hapo ndo raha ya kufanya kazi TRA inapokuja mfanyakazi wa TRA atanunua hiyo benzi 2.5m Tsh tu (pamoja na kodi). Click to expand... Nitamlipa mwenye tipper 3Million ahakikishe kaigonga haitamaniki!.. Kupunguza maumivu!..
blessings said: Hapo ndo raha ya kufanya kazi TRA inapokuja mfanyakazi wa TRA atanunua hiyo benzi 2.5m Tsh tu (pamoja na kodi). Click to expand... Nitamlipa mwenye tipper 3Million ahakikishe kaigonga haitamaniki!.. Kupunguza maumivu!..
M24 Headquarters-Kigali JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 8,199 Reaction score 8,186 Jan 13, 2020 #42 Mshuza2 said: Hizi gari za kufunguka binafsi sina mzuka nazo kabisa hata nikifikia uwezo wa kununua dizaini hii. Click to expand... Sio huna mzuka Nazi. HUNA HELA
Mshuza2 said: Hizi gari za kufunguka binafsi sina mzuka nazo kabisa hata nikifikia uwezo wa kununua dizaini hii. Click to expand... Sio huna mzuka Nazi. HUNA HELA
Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,261 Reaction score 17,202 Jan 13, 2020 #43 blessings said: Sio huna mzuka Nazi. HUNA HELA Click to expand... Ni kweli..sina mkuu..!