Hiyo msg inasema "usajili wa account yako unasubiri kuthibitishwa na admin"Wadau, jana rafiki yangu alikuja kwangu akataka nimwonyeshe namna ya kuwa na account ya jamiiforums, ili aweze kutaga zangazo lake. Tulifanikiwa kifanya registration
Sasa kila akitaka kuedit thred anaata messagehii
"Your membership in this forum is pendig forum admin approval. Please tryagain later."
mpaka sasa hatukafanikwa, tatizo ni nini?
Duuuh basima admin wanatutesa? maana hii ni toka jana saaa 8 mchana. Naona hana jinsi itabidi asubiri tu.Hiyo msg inasema "usajili wa account yako unasubiri kuthibitishwa na admin"
Hivyo utaweza kutumia account hiyo baada ya admin kuwa wamethibitisha taarifa za account yake
Comeon guys! the issue is not about writing, readig or speaking english, rather it is about how long does it take the administrator to approve a newly registered member!? It is a second day now and yet the member is unable to edit any thread !!!na account ya jamiiforums, ili aweze kutaga zangazo lake. Tulifanikiwa kifanya registration
Sasa kila akitaka ku-edit thred anaata message hii
"Your membership in this forum is pendig forum admin approval. Please tryagain later."
We jamaa unaweza kuja kutisha kingereza yaani hapo hujui huwez tafsiri ila unaandika ? mbona hayo maneno nliyoyashade umeweza yaandika ?
Mimi sikupata ujimbe kama huu, ni zamani kidogo, na hasa kwa muda mrefu mamna hii, ndani ya risaa rimoja mimi nilikuwa tayari nina uwezo wa ku-like au kutoa comments kwa thread za wachangiaji.Mkuu kwan wewe ulipofungua account yako ya jamii forum hukupata huo ujumbe?
Kama vile na wewe hujui kitumia * lower case" kwenye uandishi wako.Hiyo msg inasema "usajili wa account yako unasubiri kuthibitishwa na admin"
Hivyo utaweza kutumia account hiyo baada ya admin kuwa wamethibitisha taarifa za account yake
KUMBE KIINGEREZA HUJUI MKUU MPAKA UNAOMBA MSAADA
Tatizo limeisha??Mimi sikupata ujimbe kama huu, ni zamani kidogo, na hasa kwa muda mrefu mamna hii, ndani ya risaa rimoja mimi nilikuwa tayari nina uwezo wa ku-like au kutoa comments kwa thread za wachangiaji.
Mimi sikupata ujimbe kama huu, ni zamani kidogo, na hasa kwa muda mrefu mamna hii, ndani ya risaa rimoja mimi nilikuwa tayari nina uwezo wa ku-like au kutoa comments kwa thread za wachangiaji.