Hii michango anayoomba Tundu Lissu si rushwa kipindi hiki cha uchaguzi wa ndani?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Kama uchaguzi wote unasimamiwa na chama, huu mchango unalenga nini kama si rushwa?
Chama kimelipia uchaguzi wote.
Pesa hii haitamika kuhonga wajumbe na kusambaza propaganda dhidi ya chama?


 
Kuna muafrika ktk siasa asitumie rushwa?
 
Lengo la mchango mgombea nini? Kuhonga wajumbe?
 
Kwa hiyo Malaria 2 ana mimba ya TAL?!
 
Mbowe anatoa mamilioni kuchangia chama Lisu abachangisha pesa kuchangiwa yeye kwa jina lake binafsi sio chama

Mtakaochangia pesa kwa Jina binafsi la Lusu kichwani zitakuwa hazimo
 
Kwani wewe chawa wa ccm mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini?
Kwa nini usiende kunengulia wanaume huko Dodoma upate chochote.
Hizo buku 7 zinakusaidia nini ukishinda hapa jf kuanzisha utumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…