Hii michuano ya CECAFA senior women challenge Kuna kiingilio au ni bure?

M.Rutabo

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
1,031
Reaction score
2,647
Pale uwanja wa chamazi Azam complex kuna mashindano ya mpira wa miguu kwa timu za wanawake kutoka mataifa ya Afrika mashariki na Kati ( CECAFA) . Kwanza niseme kwamba Kuna timu za wanawake zinacheza mpira kuliko ata wanaume hapa nita refer timu za Uganda, Burundi, Kenya na Tanzania. Wanawake wa hizi timu wanapiga mpira kuliko ata midume.

Jambo la pili nikwamba haya mashindano yanaingiza umati mkubwa wa watu kuliko ata timu ya wanaume ya taifa inapocheza, sasa sijajuwa Kuna kiingilio kweli au ni bule? lakini ata kama ni bule mbona ata mechi nyingine kiingilio inakuwaga bule ila watu hawaendi uwanjani?
 
FaizaFoxy anakuhusu mkuu
 
Bure
 
Mwanahamisi Omari a.k.a Gaucho na ile beki ya pembeni Donesia Daniel Minja ni shida aisee! Starz wapo vizuri sana
 
Mzunguko ni bure mkuu..kule ambako hupigwi na jua ni buku tatu..
 
Hata Mimi naachaje kwenda
Screenshot_20191118-185438.jpeg
 
Ila la burudani linapigwa asikwambie mtu. Linakumbusha soka la zaman miaka ya 1990s. Kanzu,tobo, vyenga n.k
 
We unadhani kinacho angaliwa pale ni mpira tu...kuna vitu vya ziada mabaharia wanacheki[emoji23]
 
Back
Top Bottom