Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Nimeona Tangu zawadi zilipoanza kutolewa Kwa washindi, baada ya Medali iwe ya Shaba, Fedha au Dhahabu mshindi anapewa pia Mdoli Wenye Sura kama Kanyani kadogo.
Naomba wajuzi mnisaidie kujua Midoli hii inawakilisha nini maana wenzetu hawana kawaida ya Kuweka kitu kisicho na maana Fulani.
Naomba wajuzi mnisaidie kujua Midoli hii inawakilisha nini maana wenzetu hawana kawaida ya Kuweka kitu kisicho na maana Fulani.