Wala haifiki miezi 18 itakuwa kimeshaelewekaAmani ya Bwana iwe nanyi,
Nakuja kwenu na tathmini yangu ya haraka haraka kuhusu mwenendo wa hali ya siasa wa Tanzania na inayoonekana kama hatma ya taifa hilo.
Nikiangalia mwenendo wa mambo mbalimbali yanayoendelea ndani na nje ya nchi ya Tanzania, naona kwamba miezi 18 ijayo inaweza kutuambia hatma ya taifa hilo.
Kama maamuzi ya maksudi hayatachukuliwa ku "reverse" mwenendo mbaya wa kisiasa ambao umekuwa unaendelea kwa takribani miaka 10 sasa ambao ulianzia kwa kupambana na vyama vya upinzani ila sasa umehamia rasmi ndani ya chama tawala, baada ya muda huo niliotaja, Tanzania ina uwezekano wa kuingia katika mkwamo na mgogoro mkubwa mno ambao utakuwa mgumu sana kuudhibiti. Wamakonde wanasema unaweza ku "spiral out of control".
Mwenye masikio na asikie, mwenye macho na aone.
Kwa leo sina la zaidi la kusema.
Yeye atakubali kubadilishwa?Ushaambiwa Katiba yetu bado ni nzuri, inaruhusu kubadilisha viongozi bila shida sasa huo mkwamo wa kisiasa utatokana na nini?
Mimi sijui mkuu. Kuna aliye tayari kumbadili tumtumie kama shamba darasa?Yeye atakubali kubadilishwa?
Makadirio hayo ya miezi 18 yanamaanisha kuanzia sasa hadi miezi hiyo 18 unless una maanisha "kueleweka" kwa maana ya hatua kuchukuliwa na suluhisho kupatikana na kuepuka hayo tunayoyaongelea kuwa yanaweza kutokea.Wala haifiki miezi 18 itakuwa kimeshaeleweka
Uliwahi kumlaani nani kwa mauaji,utekaji,utesaji,ufirauni na ufungaji jela kwa hiyo miaka?nalaani porojo za upinzani mtandaoni
Wenye fikra chanya.kama zako hizi walio ndani ya Mfumo tena kwenye injini kabisa ya kufanya haya yawezekane ndiyo kama hivi sasa..Wanajiuzulishwa,Kufukuzwa Vyama na kutekwa..!!!!!?Naunga mkono hoja. Kama hali hii itaendelea siku hadi siku bila kurekebisha makosa yaliyotokea, naona kama Tanzania inakwenda kuzama kabisa. Mbaya zaidi ni kwamba, tatizo moja linazaa matatizo mengi zaidi, kwa hiyo inakuja kuwa ngumu sana kuyatatua hayo matatizo kwa wakati mmoja. Tusipochukua hatua za maksudi, itafika 2029 na 2030 matatizo haya yakiwa yanaendelea na Katiba mpya ikiwa haijapatikana. Hapo tunajiuluza:-
1. Je, uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2029 na uchaguzi mkuu 2030 utafanyika katika mazingira haya bila Katiba mpya na marekebisho ya sheria za uchaguzi?
2. Kama utafanyika, nani atagombea, nani atapiga kampeni, nani atasimamia uchaguzi na nani atakwenda kupiga kura katika mazingira haya?
Mimi nadhani hatujachelewa. Tuchukue hatua madhubuti mapema ili kujenga imani kwa wananchi na kisha kuanza kutatua matatizo haya tukiongozwa na dhamiri safi kutoka mioyoni mwetu.
Mimi naogopa hapa kwenye katiba mpya tunayoililia ,wahuni ndio wameshikilia Kila kitu wakiamua chochote kinakuwa leo tunawapa dhamana ya kusimamia mchakato wa kitu muhimu kuliko vyote,sio kweli .Naunga mkono hoja. Kama hali hii itaendelea siku hadi siku bila kurekebisha makosa yaliyotokea, naona kama Tanzania inakwenda kuzama kabisa. Mbaya zaidi ni kwamba, tatizo moja linazaa matatizo mengi zaidi, kwa hiyo inakuja kuwa ngumu sana kuyatatua hayo matatizo kwa wakati mmoja. Tusipochukua hatua za maksudi, itafika 2029 na 2030 matatizo haya yakiwa yanaendelea na Katiba mpya ikiwa haijapatikana. Hapo tunajiuluza:-
1. Je, uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2029 na uchaguzi mkuu 2030 utafanyika katika mazingira haya bila Katiba mpya na marekebisho ya sheria za uchaguzi?
2. Kama utafanyika, nani atagombea, nani atapiga kampeni, nani atasimamia uchaguzi na nani atakwenda kupiga kura katika mazingira haya?
Mimi nadhani hatujachelewa. Tuchukue hatua madhubuti mapema ili kujenga imani kwa wananchi na kisha kuanza kutatua matatizo haya tukiongozwa na dhamiri safi kutoka mioyoni mwetu.
Jizi na lipenda rushwa limepost. Halioni aibunalaani porojo za upinzani mtandaoni
Hakika. Miezi 18 ni mingi mno. Watu wamechoka sana.Wala haifiki miezi 18 itakuwa kimeshaeleweka