Hii miguu ya mtoto Tunda noma kweli!! kama ya Usain Bolt

Status
Not open for further replies.
😀😀😀😀
wewe jamaa haujafanya photo shop kweli hapo?
 
Daaah noma kwelii
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
😀😀😀😀
wewe jamaa haujafanya photo shop kweli hapo?
sio photoshop, ukitaka kujua picha ni photo shop au sio angalia kivuli cha picha hiyo, cheki kivuli cha mkono wake kwenye mapaja hayo, utagundua ni real
 
Miye huwa najiulizaga; Ni yupi alitakiwa ayavae hayo mavazi hapo? Ni huyo me au huyo ke? Jamani, nilivyo na wivu hivi!! Mwajua huwa natamani mkewangu yaani mai waifu akienda clinic sitaki kumwona kidume kikiingia humo ndani ya chumba?? Natamani nimtoboa macho yaliyoona paja la maiwaifu wangu!!
Halafu litoto linasanua vitu vyote hapo kwenye picha. Ptyuuuuu. Samahanini may be am too old for these photos
 
sijajua watu wanachopenda hapo ni nini.. wanaume sisi bhana
 
aisee ila kamera zinatudanganyaga sana daaaaah.. mtu anaweza akajikataa hapo akasema sio yeye..kumbe waala
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…