Hii mimba imeharibika?

Hii mimba imeharibika?

Jannet

Member
Joined
Jul 23, 2015
Posts
27
Reaction score
5
Habari wakuu.

Nina ujauzito wa miezi kama miwili.

Leo nashangaa kuna siku zangu. Ni nini shida na nifanyeje.

Uwiii.
 
Seriously? mbona inaogopesha! Madaktari mpo? Hapo kwenye kuona siku zako ndo pananipa tabu, may be ni other complications za hiyo mimba ya miezi 12
 
Hilo jambo la kawaida sana usiwe na wasiwasi. Ila kamuone daktari wako kwa maelekezo ya ziada. Ndo maana tunabambikiwa watoto maana mwanamke anaweza kutoa damu wakati akiwa ni mjamzito akafikiri ni MP kumbe siyo
 
Nasikia wapo wale wanaokuwa na ujauzito na wanapata MP kawa kawaida...Madaktari watathibitisha hii
 
Wahi hospitali isije ikawa ni threatened abortion...
 
Seriously? mbona inaogopesha! Madaktari mpo? Hapo kwenye kuona siku zako ndo pananipa tabu, may be ni other complications za hiyo mimba ya miezi 12

Siyo 12 mkuu, ni kama 2 (miwili).
 
Poleni wanawake wote duniani. You go through a lot jamani. Yaani mpaka mtulete hapa duniani ni kama muujiza fulani hivi. Halafu tukizaliwa napo tuko hoi bin taaban. Nothing from me but love and respect and I hope that siyo tatizo lolote (kubwa). Be blessed!
 
habari wakuu. ninaujauzito wa miezi kama miwili. Leo nashangaa kuna cku zangu. ni nini shida na nifanyeje. uwiii

Kwani huko nyuma ulikuwa huoni siku zako? Ina maana ulikuwa umekufa na leo ndiyo umefufuka? Shida yawezekana ulikuwa umetekwa na shetani na cha kufanya kila siku zishikilie hizo siku zako na zisikudondoke.
 
Asante ni kwa ushauri na kunitia moyo. mapema kesho ntawahi hospitali
 
swali la kujiuliza MP imekupata toka mimba ina mwezi mmoja au imekupata kwwnye mwezi wa pili. Mda mwingine mimba inaweza kuharibika na damu zikatoka kama normal menstruation period blood, muhimu ni kwenda hospitali
 
Imeanza Jana kaka nitonye
 
Last edited by a moderator:
Namshukuru Mungu kwa yote. ikizingatia nilifiwa mtoto wangu wa miezi 8 mwezi wa 4 kwa ugonjwa wa maleria na homa kali. nasikitika ujauzito wa miezi miwili umetoka. sababu ni uvimbe kwenye kizazi. We Mungu najua una makusudi na maisha yangu
 
Pole sana mpendwa!!!!
 
Pole sana. Punguza mishe mishe mimba inapokuwa changa ili mambo kama haya yasikutokee. Mimba inapokuwa changa inabidi utulie mpaka ukomae ndiyo uanze mishe mishe zako. Kama damu zinatoka lakini huna maumivu yoyote tumboni ni kawaida, ila kama unajinyonga tumbo mimba itakuwa imetoka.
 
Back
Top Bottom