Seriously? mbona inaogopesha! Madaktari mpo? Hapo kwenye kuona siku zako ndo pananipa tabu, may be ni other complications za hiyo mimba ya miezi 12
habari wakuu. ninaujauzito wa miezi kama miwili. Leo nashangaa kuna cku zangu. ni nini shida na nifanyeje. uwiii
Siyo 12 mkuu, ni kama 2 (miwili).
Namshukuru Mungu kwa yote. ikizingatia nilifiwa mtoto wangu wa miezi 8 mwezi wa 4 kwa ugonjwa wa maleria na homa kali. nasikitika ujauzito wa miezi miwili umetoka. sababu ni uvimbe kwenye kizazi. We Mungu najua una makusudi na maisha yangu