Hii mimba imeharibika?

Me nakushauri uende hospital ukapatiwe matibabu inaweza ikawa kweli imeharibika au umepata tu complication za mimba bado ipo wahi hospital mapema kuna dada mmoja naye alikuwa na ujauzito wa miezi 2 alibreed wiki mbili ikaonekana anafanya kazi nzito ikabidi apewe bedrest
 
Kwani huko nyuma ulikuwa huoni siku zako? Ina maana ulikuwa umekufa na leo ndiyo umefufuka? Shida yawezekana ulikuwa umetekwa na shetani na cha kufanya kila siku zishikilie hizo siku zako na zisikudondoke.

C'mon, get real pal!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…